Dstv Multichoice acheni ubabaishaji

Dstv Multichoice acheni ubabaishaji

MulRZGM

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
1,015
Reaction score
748
Mwezi uliopita kabla ya tarehe 16 mmenitumia sms kwamba nikilipa kifurushi cha compact+ mapema kabla hakijaisha nitapata ofa ya Chanel za premium kwa muda wa siku 30 bure.

Kifurushi kilikuwa kinaisha tarehe 26, nikalipa mapema ili nipate hiyo ofa na cha kushangaza hakuna cha ofa wala nini. Nimewapigia zaidi ya mara 4 wanasema wanashughulikia tu.

Huo ni ubabaishaji na polepole mnaanza kujipotezea uaminifu kwangu. Au na nyinyi vyuma vimekaza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom