DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

Pamoja na mapungufu ya Dstv, huu wimbo wa “Azam akipata haki ya EPL na UCL” ni mwaka wa ngapi sasa mnaimba na bado hakuna dalili ya kutimia?
 
Hawana bhana, acha ubishi
Mimi natumia DSTV ndugu. Chanel number 226 na 222 ndio huonyesha UCL. Kama kuna match nyingi kwa pamoja wanaonyesha Chanel namba 223, 224, 225, 227 mpaka 228 na hizi utaziona ukiwa umelipa 60k.
Ila pamoja na kuziona hawawezi kukuonyesha zile Big Matches au timu za England kwakuwa zinamvuto wa kipekee kwahiyo wataweka kwenye kifurushi cha 80k ambacho ni Compact Plus
 
Kwani nani hatumii DStv ndugu? Hapa wanazungumzia CCL na sio UCL
 
DSTV wako vizuri sana sema ndo wana beii balaaa..
 
Wajitafakari sana muda si mrefu tutawakimbia sijajua kwa nini mzee Bakhresa haleti michuano ya EPL na Champions league kwenye Azam akifanikiwa hili ataimaliza DSTV
Ila gharama za vifurushi zitapanda sana kama akiamua kuwekeza kwenye epl na uefa sasa kifurushi kikubwa anauza elfu 30+ akiweka hayo mashindano makubwa bei inaweza kufika 90+
 
Hapa wapenzi wa jua kali series and co hawatakuelewa, ila kwa sisi wapenzi wa mpira kujaza hizo series hata kama ni nzuri na zina watazamaji wengi kiasi gani, huku huna mechi zinazoeleweka ni uhuni tu
 
Wengine ukisema football [emoji460]️ tunaiwaza DSTV ila kiukweli sijajua uongozi wao kwa sasa nani ni Mkurugenzi pale naona amefeli ukiacha EPL na Champions league ambayo wanajivunia hawana la ziada ipo siku competition itatokea tu ipo siku
 
DSTV analipa zaidi ya $10M (2015) kwa mwaka na ana exclusivity rights kuonyesha EPL, Champion League na ligi zingine za football kwa east and Central Africa.
Hela ndogo sana hii kwa Mzee Bakhresa may be kuna sehemu anabaniwa mchongo
 
Ila gharama za vifurushi zitapanda sana kama akiamua kuwekeza kwenye epl na uefa sasa kifurushi kikubwa anauza elfu 30+ akiweka hayo mashindano makubwa bei inaweza kufika 90+
Ni heri sehemu ya uhakika utajibana tu imagine unalipia DSTV huoni timu yako ya Taifa ikicheza then huoni hata Simba na Yanga wakicheza na bei zao ni ghali sasa kingamuzi ni nini?sema wanaringa wakijiona EPL na Champions league wameishika wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…