CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari za usiku wadau...
Jamani nimelipia kifurushi cha DSTV .... Cha ajabu sipati local channels, nikiangalia kwenye Channel grid hata namba za local channels hazipo mf. 291 (Star TV), 290 (TBC) n.k.
Nikibonyeza manually napata sms hii
"E37 You have selected an invalid channel number, please try again or select the channel you wish to view on channel grid by pressing any of the arrow keys on the remote"
Tatizo litakuwa wapi????
Nadhani unafahamu kuwa hakuna chanel ya bure DSTv kama ilivuo kwa ving'amuzi vingine. Natumia DSTv na sijakutana na hilo sakata kwani nalipia promptly.
Bonyeza kwenye remotu button ambayo imeandikwa tv,then select dstv afrca,zitafunguka hizo zingine
Asante mkuu... Ngoja nijaribu!
Bonyeza kwenye remotu button ambayo imeandikwa tv,then select dstv afrca,zitafunguka hizo zingine
Samahani mkuu, sidhani kama nimesema kuwa nahitaji channels za bure. Ndio maana nikasema "Nimelipia"
...
Sijui kama umeelewa post yangu?
Nisamehe bure mkuu
Nashukuru sana ndugu yangu... Zimefunguka zote, Barikiwa sana!!!
Mkuu Jephta2003