Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,246
Sio wezi, kuna IST, Passo, carina na wadogozake,.... then kuna Ma- VX, Rover na wanao fanana nae. Mfuko wako tu.Dstv wezi walioshindikana
Dstv wezi walioshindikana
kivipi ?Dstv wezi walioshindikana
DSTV na mvua? Wewe utakuwa unaongea kinyume!Kupata habari ni haki ya kikatiba , ni makosa kuwakosesha habari watu waliolipia , ni wizi wa mchana na haukubaliki .
Kupokea malipo ya wananchi ili kuwapa huduma ya kuwaonyesha channel kadhaa ni mkataba na ni lazima utekelezwe , inyeshe mvua au liwake jua .
Ndani ya ofisi yangu iliyoko Mbozi road karibu na chuo cha VETA tumeweka ving'amuzi kadhaa , vikiwemo StarTimes , Azam na Dstv , lakini cha kushangaza kwa zaidi ya masaa 7 ni DSTV pekee iliyo hewani , zingine zote zimezima kwa sababu ya mvua , ni nani atanifidia masaa haya yaliyopotea bure ? je mvua ikiendelea kwa siku kadhaa itakuwaje ?
Nakala kwa TCRA
DSTV MVUA IKIANZA KUNYESHA INAGANDA, HII NI POPOTE TANZANIA. HEBU WAJITOKEZE WATUJIBU NI KWA NINIDSTV na mvua? Wewe utakuwa unaongea kinyume!
Dstv kwenye mvua hamna kitu
DSTV MVUA IKIANZA KUNYESHA INAGANDA, HII NI POPOTE TANZANIA. HEBU WAJITOKEZE WATUJIBU NI KWA NINI
dstv wanyonyaji
Nimeshindwa kumshangaa mleta mada!Hata DSTV ina shida kwenye mvua
Nunua startimes.dstv wanyonyaji
Umefungiwa vibaya. Kwa Mvua ya leo Dar nipo home naangalia tangu asubuhi mpaka muda huu.Dstv kwenye mvua hamna kitu
Kukiwa na mawingu tu wanaenda likizo.kivipi ?
Kukiwa na mawingu tu wanaenda likizo.kivipi ?
ya kweli haya?Wekeni miamvuli juu ya madish kamwe hamtopata adha
Dstv quality sana, najiulizaga kwanini wasitoe huduma ya kuuza channel moja moja kwa bei nafuu ili watu wajikune wanapofika. Mfano mi Ninunue za wanyama kama discovery channel, entertainment kama sony max, na za mziki kama trace mziki, soundcity pamoja na moja ya cartoon kwa ajili ya watoto tu hata kwa 10k hizo zingine zote wapige makufuli waache za local free.Naipenda Dstv kwa kweli! yaani mpaka naumwa!