Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,711
jamani nimechoka na ving'amuzi vyetu hivi,nilianza na easytv then zuku nimemalizia na continental vyote naona hakuna unafuu,hata ni biashara huria hawa TCRA wameshindwa kutuokoa na unnecessary cost?
Sasa nijibane tu nifunge DSTV kwa mwenye uelewa wa cost zake please anisaidie pia vifurushi vyake vinakuaje
Sasa nijibane tu nifunge DSTV kwa mwenye uelewa wa cost zake please anisaidie pia vifurushi vyake vinakuaje