david08606
Member
- Jul 18, 2013
- 47
- 4
wadau mi nimtumiaji mpya wa dstv baada ya kuona vingamuzi vingne ni mizigo kwangu. Nije kwenye tatizo baaada ya jana kulipia tena nimeshangaaa kila napowasha sioni channel yoyote na inaniambia your connection has lost toka jana nashindwa kuelewa tatizo ni nin. Msaada wadau
pole, lakini dstv ndo mpango mzima blaza
unakuwa kama sio Mwana JF bana watu wanakimbia huko ww unakimbilia huko??
ungemtafuta huyu jamaa 0773044899 anakiboko ya dstv watu tunakula bata kwakwenda mbele.
wadau nashukuluni sana kwa maoni yenu.nmefanikiwa kwa kutafuta fund nw napata vitu vizuri vya dstv
Sory mkuu iyo inakuwaje kuwa zaid ya dstv