DSTV Full Set kwa TZS 79,000*

DSTV Full Set kwa TZS 79,000*

Tumeamia IPTV, hahahahahaha maisha yakiendelea hivi na speed nzuri ya internet hasa hawa wavietnam dstv lazima muisome namba, skysports, beinsports, ....na documentary channel na animal planet na Nat. Geographic nk. kwa $55 kwa Mwaka, narudia tena kwa Mwaka.....!
 
Nimefungiwa cjui kinaitwaje yaan kwa 180k maana nilikuwa na dish kubwa nacheki euro, copa america, nba , sky news, cnn, hbo movies, etc bila malipo ya mwezi full hd kwa raaaahaaa
 
Nimefungiwa cjui kinaitwaje yaan kwa 180k maana nilikuwa na dish kubwa nacheki euro, copa america, nba , sky news, cnn, hbo movies, etc bila malipo ya mwezi full hd kwa raaaahaaa
Mkuu hebu tujuze ni dicoder gani hiyo? maana humu wengi ni waanga wa bei za DSTV
 
Mkuu hebu tujuze ni dicoder gani hiyo? maana humu wengi ni waanga wa bei za DSTV
zipo dekoda aina nyingi zinzzofanya kazi kama anavyosema mdau hapo juu mfano wake ni kama: azsky, alphabox nk. unahitaji dish kubwa kuanzia ft.6, ongea na hao mafundi dish walio karibu nawe!
 
Kile kifurushi kinacho kuwezesha kuangalia mipira yote duniani, yani s2 mpaka10 bei gani kwa mwezi?
 
Jiunge sasa na Dstv kwa punguzo la bei ambapo utapata vifaa vyote kwa Tsh 79,000. Pia utapewa mwezi mmoja bure wa kifurushi cha Compact chenye Channels zaidi ya 90. Utashuhudia mechi zote za Uefa Euro live kwenye HD
0b0cd977a4b292a4646c8e00c32d443a.jpg
Nipigie 0767556701. Alphonce nipo Mwanza
Naweza kununua vifaa vyote nikafunga zambia? Pia kununua ikiwa na kifurushi cha premium bei gani? Nataka nifunge zambia
 
Kampuni ina mfumo wa kizamani,kuwasha mwaka mzima ndiyo uanze kuona picha.
 
kuangalia mpira malipo yake kwa mwezi ni bei gani
 
Juzi juzi nmewapigia hawa jamaa nibadilishe decorder maana natumia decorder ya zamani (ambazo si HD) nipate hizi za HD wanasema ninunue kwa 59K wakati bei ya full package ni 79k. Si bora niongeze hiyo 20 ninunue package nzima. Nimpe hata mtu bure hii decorder ya zamani plus dish n waya.
Ma.bwege sana mtu mteja wao miaka 5 sasa wanashindwa kuonyesha concern hata kidogo.

Sem case mkuu, hawa jamaa hawafai kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom