Hicho kifurushi cha Compact kinauzwaje baada ya huo mwezi mmoja kwisha????Jiunge sasa na Dstv kwa punguzo la bei ambapo utapata vifaa vyote kwa Tsh 79,000. Pia utapewa mwezi mmoja bure wa kifurushi cha Compact chenye Channels zaidi ya 90. Utashuhudia mechi zote za Uefa Euro live kwenye HDNipigie 0767556701. Alphonce nipo Mwanza
Swali zuri maana Dstv issue sio kununua issue kulipiaHicho kifurushi cha Compact kinauzwaje baada ya huo mwezi mmoja kwisha????
Hicho kifurushi cha Compact kinauzwaje baada ya huo mwezi mmoja kwisha????
84500 ndg ila uzuri kina S11 na S12 ambazo zinaonesha mechi zote unazohitaji me ndo nachonunuaHicho kifurushi cha Compact kinauzwaje baada ya huo mwezi mmoja kwisha????
Bei ni moja upo mkoa ganiMikoa mingine je bei ikoje
Juzi juzi nmewapigia hawa jamaa nibadilishe decorder maana natumia decorder ya zamani (ambazo si HD) nipate hizi za HD wanasema ninunue kwa 59K wakati bei ya full package ni 79k. Si bora niongeze hiyo 20 ninunue package nzima. Nimpe hata mtu bure hii decorder ya zamani plus dish n waya.
Ma.bwege sana mtu mteja wao miaka 5 sasa wanashindwa kuonyesha concern hata kidogo.
Unapewa mwezi mmoja bure kwa kifurushi cha compact Tsh 84,500Compact ni kama Tzs. 84,000/mwezi.
@Mangijr hiyo 79,000 inajumuisha na kifurushi cha mwezi?? Na gharama za ufundi?
Vipo vifurushi vya aina kuu tano Dstv Bomba kwa 23,500/- kwa mwezi channels 70. Family 51,000/- channels 75, Compact 84,500/- nk
Tbc 1 Star tv Channel Ten Itv Clouds TvKwa hiyo Local channel gani zinaonekana katika kila kifurushi??
Vipo vifurushi vya aina kuu tano Dstv Bomba kwa 23,500/- kwa mwezi channels 70. Family 51,000/- channels 75, Compact 84,500/- nk
Ufundi bei gani?Unapewa mwezi mmoja bure kwa kifurushi cha compact Tsh 84,500
Bila ufundi