Habari wana jamvi.
Sina nia mbaya na biashara za watu Lakini kwa hili.....wacha nitoe ya moyoni.
Ninapenda sana kuangalia mpira wa miguu hasa wa Uingereza (EPL); tatizo langu ni kuona DStv anang'ang'ania Africa nzima awe yeye........anyway, sio mbaya kwa hilo.
Shida yangu ni gharama zake zisizoendana na uhalisia wa kipato cha wapenda mpira, vijana kama mimi tusio na uwezo wa gharama zake.
Kulipa Tsh 219,000/- kwa mwezi ili hali kipato changu ni Tsh 350,000/- kwa mwezi hilo ni janga kwangu.
Ningependa ujumbe huu uwafikie mabosi wa kampuni ili watambue hilo.
Asante!
NAWASILISHA.

Ramadhan Kareem bibi kizeeFirisika = Filisika
Kwa hiyo ikifilisika wewe ndiyo utapata kuona mpira bure?
Kwani lazima?
Mie nataka Porsche Macan, lakini najua silihitaji.
Jifunze kutenganisha vitu unavyovitaka na vitu unavyovihitaji.
The Macan is the newer and more powerful version. But the Cayenne is roomier.Porsche Cayenne Turbo S.
The Macan is the newer and more powerful version. But the Cayenne is roomier.
I was considering the Macan. But I dont really need it.And offer more horsepower.
Mkuu tatizo sio DSTV tatizo ni wewe, kipato chako kinakuruhusu kwenda vibanda umiza wewe unataka ukae kwako. Kibanda umiza kwa mwezi haizidi 4,000. Ukitaka kukaa ndani ongeza kipato chako kwanza.hata wakifilisika unafkiri ndio itakuwa bei rahisi?
wamelipia mkataba hadi 2019 ndo unaisha na wameilipa ligi ya uingereza pound milioni 297, kwa haraka haraka ni kama trilioni 1 ya kibongo.
sasa fikiria wewe trilioni moja utailipaje?
sababu hio trilioni moja ni fixed hata wakiongezeka watu kitu pekee cha kuishusha hio bei ni idadi ya wateja wa dstv kuongezeka.
naomba nifafanulie hii imekaa vizurihauko informed mkuu.. anyways nasikia mnaeza mkachangia account kama watu kumi kiilipa iyo lak mbili.. haijalishi uko mkoa gani
1. tatizo sio DSTV, tatizo ni ligi ya uingereza ukumbuke dstv wana vifurushi kama vya azam na startimes unavyoona chanell nyengine ambazo si za mpira.Mkuu tatizo sio DSTV tatizo ni wewe, kipato chako kinakuruhusu kwenda vibanda umiza wewe unataka ukae kwako. Kibanda umiza kwa mwezi haizidi 4,000. Ukitaka kukaa ndani ongeza kipato chako kwanza.
Hahaahahahhah unajua running cost zao? unajua ni ligi ngapi wanazionesha?1. tatizo sio DSTV, tatizo ni ligi ya uingereza ukumbuke dstv wana vifurushi kama vya azam na startimes unavyoona chanell nyengine ambazo si za mpira.
2. kama nilivyokwambia hapo juu kila mtu kusini mwa jangwa la sahara angekua analipia DSTV bei zingeshuka sababu kiasi wanacholipa ligi ya uingereza ni fixed hivyo tukiwa wengi tungegawana hio ada.