itakuja tu..mara nyingine huwa inatumia mda kidogo au unaweza ukazima decoder then unawasha au ukaenda kwa website yao kuna sehem ya selfservice unaweza ku reset ..ILA kama umelipia na kubadili package mfano mwanzo ulikuwa unatumia pakage ya compact then ukalipia cha chini yake hapo mpaka uwasiliane nao wakubadilishie wenyewe..