DSTV acheni kurudia vipindi

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Hakika DSTV ni moja Kati ya Kampuni inayopendwa na watazamaji wengi na mimi nikiwa mmoja wao.Kinachonifanya niichukie ni tabia ya kurudia vipindi vyake hata kwa mpaka mzima.Tunaushauri uongozi wa DSTV badilikeni la sivyo tutawahama.Inakera kuangalia kipindi hicho hicho mwaka mzima kwa maana National Geographical Wild.
 
Kuna kipindi flani nilikariri programe zote hadi miziki yote inavyojirudia kwenye star times channel zote nikapiga chini
 
We Jamaa Ni Mshamba Sana. Sasa unawaambia DSTV au NAT Geo Wild ???????

Hiyo channel hata Star times ipo hata Azam ipo. Sasa huko kote DSTV ndio wanarudia vipindi.

Ipo siku utakuja kusema Startimes wanarudia Vipindi vya TBC
Mkuu nimeanza kumiliki Dstv kabla ya baba yako hajamiliki
 
Kula movie na series tu...

Kama una internet ya kumwaga, stream kwa US/UK au Canada IPTV mux zipo tele kwa internet
 
Back
Top Bottom