DSM jiji lenye magereza nchini, jamani msije mjini.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,043
4,026
Zamani tulikuwa tunajua Ulaya na DSM kumepishana kidogo tu.
Tulikuwa tunajua Dsm hamna nyumba za bati, tulikuwa tunajua barabara zote lami, tulikuwa tunajua ukifika leo kesho unapata kazi nzuri.
Lakini sasa tumeanza kuujua ukweli na huko hatuji tena, hamna maisha bora ila magereza mengi kuliko mji mwingine wowote.
 
Magereza tunawajengeeni nyie wakuja, mnao fanya pawa windo na saiti mira mtaji wenu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom