Drop my daughter home....

Drop my daughter home....

kumbe ww ndo mama mkwe.....hakyanan mnaniumiza kichwa sana khs binti yenu Zion Daughter....nitamtorosha....endeleeni tu...

Utamtoroshea wapi ambapo hatutoweza kuwapata? Unacheza na wakurya wewe? Kama ng'ombe tu wasio na vitambulisho tunawafuta mpaka Kenya na kuwatambua na kuwarudisha zizini Tarime, itakuwa binti yetu? Mwita Maranya hebu njoo huku uone huyu muharibifu majany anavyotutishia!
 
Last edited by a moderator:
amesahau utam wa asali hauishi mara moja ni lazima ujilambe tena na tena eeeeee
 
Utamtoroshea wapi ambapo hatutoweza kuwapata? Unacheza na wakurya wewe? Kama ng'ombe tu wasio na vitambulisho tunawafuta mpaka Kenya na kuwatambua na kuwarudisha zizini Tarime, itakuwa binti yetu? Mwita Maranya hebu njoo huku uone huyu muharibifu majany anavyotutishia!

Mama watoto mwaJ wala usitishike na huo mkwara mbuzi wa hako kasharobaro kanakojiita majany. Binti yetu Zion Daughter unafahamu tumemlea kwa maadili yote ya kikurya na hawezi hata siku moja kuyakiuka na ndio maana unaona hako kasharobaro kamerukaruka weee hadi kameishia kulalamika tu na kupoga vimikwara mbuzi. Usithubutu kuchezea mtoto wa kikurya wewe mtoto sharobaro majany, chezea hangine si kwa binti yangu mpendwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom