inategemea hapo sometime kuna njia nyingi za kutoka, kama vile
-kutumia proxy, ambayo hii nayo ina namna nyingi pia
*unaweza ukatumia proxy baada ya kuconect kama itafunguka proxy unaweza ukabrowse kupitia proxy.
*kuambatanisha proxy na setting zako za droid, hasa hasa kama unatumia TCP, option hii imo ndani ya app ya droid
-kueka local port, mfano umetumia remote port 80 ipo open lakini haibrowse unaweza ukaeka na local port kama 9201 sometime inakubali.