driver

driver

hydle

Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
63
Reaction score
8
heshima kwako mkuu unayepita kuiangalia thread hii,. . .pc yangu ni hp pavillion dv 6700,tatizo lake ni kwamba webcam yake haionekani katika devices and printers,nadhani tatizo ni kwamba inamiss driver yake,sasa naomba msaada wako kama naweza pata hyo driver hapa ili webcam yangu iweze kufanya kazi. . .nitashukuru kwa msaada wako mkuu,tafadhali tusaidiane.
 
Mkuu, connect internet then right click my computer, click manage. Then uende kwenye device manager, huko angalia watakua wamelist devices zote ambazo zipo kwenye pc yako, then ukiiona webcam right click then click update software then chagua ku search online, itasearch na baada ya dakika kadhaa itadownload na kuinstall. If the problem persists then ntakupa other alternative.
Regards,
Don Lucchese
 
Samahani ndugu,na mimi nina tatizo kama la mwenzangu ila mi ni modem ambayo ni universal aina ya HSDPA.ilikuwa inapiga mzigo vizuri bt ikazingua nikaiunstall dash board nilipo instal ikagoma inaniambia no driver found nikafanya kama ulivyo muelekeza ndugu hapo juu but same problem...
 
Back
Top Bottom