Driver wa Uber/Taxify Dar anahitajika

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
Habari,
Anatafutwa driver wa kuendesha gari IST kama uber na Taxify. Mmiliki wa gari yupo Tegeta:
1). Driver awe na leseni halali
2) anaweza kuwa mwanamke au mwanamke
3). Awe anaishi maeneo ya mbezi beach, Tegeta, Kunduchi, Salasala, Madale, wazo, Boko, Mbweni, Bunju na maeneo mengine ta uelekeo huu. Hii ni kwa sababu gari lazima ilazwe kwa mwenye gari
4). Awe na police report. Kama huna tutasaidiana kutafuta

Malipo ni maelewano

Aliye tayari anaweza kuwasiliana na mimi inbox au tuma email nat867@gmail.com
 
Mkuu labda huyo dereva awe ndugu yako tofauti na hapo huwez fanya hyo kazi ya uber unavyotaka utasumbuana na watu tuu.

Nikushauri jambo

Funga gps tracker kwenye gari yako ni 200,000 tuu na haina malipo kila mwaka ukifunga hyo ni moja kwa moja.

Tafuta mtu mpe mkataba wa kutokana na hali ya gari either mwaka au mwaka na miezi kadhaa. Kubaliana nae kias kwa week na malipo yawe kila week.

Ukishindwa mkataba andikishana nae kawaida akuletee hesab kila week lakini gari ilale na dereva hii ni kwa sabab kazi si kila siku ni nzur kuna kuchoka kukaa kwenye gari siku nzima si kitoto kama ufikiriavyo. Dereva atajipa muda wa kupumzika na muda wa kufanya kazi kikubwa akamilishe hesabu yako.

We kaa nyumbani angalia kwenye sim yako una track route za gari. Ukiona anakusumbua unaweza izima gar yako kwa simu yako na ukaifuata ilipo ukaichukua kirahisi.

Tatzo wenye magari ambao mnataka yarud nyumbani huwa wasumbufu na nyie sababu unaweza kuta hyo gari ndo unaitegemea kwa mizunguko yako. Nimewaza tuu

Jaribu kufanyia kaz hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni zaid ya ushauri...

DAH nimeitafuta hii kazi kwa muda mrefu .... Nimepata mishe nyengine ndo inajitokeza dah
 
Back
Top Bottom