MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,644
- 33,457
Wakuu,
Hizi radi za leo si mchezo! Zimepiga radi na zile flash hadi unahisi labda Yesu ndio anashuka sasa. Watoto nimewakuta room kwao wamepiga magoti wanasali kwa uoga
Radi za leo ni exceptional kabisa! Tegeta, Boko, Mbweni, Ununio, Kunduchi, Salasala, Bunju hadi Mabwepande hali ilitisha! Sijui maeneo mengine!
Kuna radi zinatisha!