😀😀😀...wengine za kwetu utakuta lighters, viberiti na pakiti a sigara tu.
Utakua na mdomo mweusi kama exhaust ya tipa [emoji23] [emoji23] [emoji115]wengine za kwetu utakuta lighters, viberiti na pakiti a sigara tu.
broh kwani pesa zinapatikana kwenye ngada tu? huoni watumishi wa mungu wananunua ma jet huko?Hela kitu gani bhana!! Kikubwa afya na kipato cha hela ya kujenga na kula baaaasi, mengine hayo mtakufa mkiwania U-don na msiupate.
Tamaa ya fedha haijawahi kumwacha mswahili salama!! Utakamatwa China ukiwa na ngada na kunyongwa bure!!
Sio Mbao za mawe?Mimi dressing table yangu ni Simu
Kioo cha SimuSio Mbao za mawe?
Hao wengi wao ndo wauza ngada, pia hawana ugumu wowote maana pesa zao ni za kuchangiwa na maelfu ya waumini ndani na nje ya nchi!!broh kwani pesa zinapatikana kwenye ngada tu? huoni watumishi wa mungu wananunua ma jet huko?
ndio maana nimesema hapo juu tupambaneHao wengi wao ndo wauza ngada, pia hawana ugumu wowote maana pesa zao ni za kuchangiwa na maelfu ya waumini ndani na nje ya nchi!!
Mantiki yangu namaanisha tutafute pesa kwa utaratibu sahihi, sio kutapeli au kufanya njia haramu kisa pesa!!