weka vitu vichache na muhimu unavyotumia daily DT yakoitapendeza
DT yako haipendezi kwa kuijaza makopo , chupatupu na tubes zilizokwisha tumika, ili tu ionekane imejaa vipodozi
cha kuchekesha ni kwamba vile unavyotumia ukiangalia tu ni vya bei ya chini lakini vile vilovyoisha na hukutupa makopo yake. ni vya bei. ghali kweli
najiuliza tu siokwamba yale yaliyokwisha umeokota ?