Pretaaaaaaaaaaaaaa! hakika umeoza kwa bwana mdogo.
Ni dogo tu,yani anatoka chuo kaitwa jimboni agombee na akapita coz yupo vzr sn.Ukimwona amepiga gwanda ndo utabaki unanyevuka tu,ver handsome David.
Sasa angekuwepo na huyu hapa kushoto picha ingependeza mno!
View attachment 204600
Huyuuu anatofauti na hao. coz huyu anajifanya kumponda makinda then bar wana dance wote. Anakwambia siasa haina uadui.
Hawa vijana wanafanya siasa ya ukweli. Kama mtu wanamchukia kweliii! Kama mwizi ni mwizi kwenye kamera na hata bar!
Asingependeza
Huyu anaitwa nani.........?
Ameoa........?
Point ipi waifu, daivesion au kona? Plz utaniwuwa, halafu sijui kwanini nimefungua siredi hii.Twende taratibu mkuu........tutafikia kwenye point muhimu..........
pongezi kafu na kila la kheri..hakika mnapendeza vijana. ila hakuna muda kupumzika
Bwana Harusi David Kafulila wa pili kushoto akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe wa kwanza kushoto na marafiki zake David Silinde wa kwanza kulia na Zitto Kabwe wa pili kulia. Mia
Nimesoma na hii pia, nadhani natakiwa kuishia hapa, waifu mi naenda kulalayah........that's why bana..........
Huyu anaitwa nani.........?
Humjui kweli kafulila shujaa wa escrow?
Ila wema sepetu unamjua!?
Utawalaumu wale watoto wasiomjua waziri wa elimu,ila wanamjua Joti?
Nauliza tu
Preta, umeolewa?thibitisha.........
Ni Xperia Z3
Preta, umeolewa?
Tumalize kwanza swala la kamanda..........mengineyo yatajifunua yenyewe..........
Tumalize kwanza swala la kamanda..........mengineyo yatajifunua yenyewe..........
Nakupenda we preta