Nildhani ni hii..dressed to kill ..!?Inauma sana!! Embu fikria kama huyo ndio mwanao? Yeye Innocent na anaenda kuwaua wengine ambao very Innocent, Why men? Killing in the name of god? that god must be very selfish?
facf fact factInauma sana!! Embu fikria kama huyo ndio mwanao? Yeye Innocent na anaenda kuwaua wengine ambao very Innocent, Why men? Killing in the name of god? that god must be very selfish?
Ndio maana hawezi fananishwa na kitu chochote hapa duniani,mwenye huruma ,mwenye upendo na si mwepesi was hasira.Ingekuwa kinyume cha hapo angeshaiteketeza hii dunia long ago,usikate tamaa ya kumuabudu bado anaendelea kuwakusanya walio wake na huwenda ikawa wewe in mmoja wapo.sometimes nadhani God does not exist why he allow all this thing? why he give Saturn power to kill his people? any way
Faizafoxy huwa anawatetea sana hawa,ila Nina uhakika hawezi kumruhusu mwanae avae hilo bomu
kalimizzle, hiyo uliyoonesha ni 'dressed to shame'Nildhani ni hii..dressed to kill ..!?
Ndio maana hawezi fananishwa na kitu chochote hapa duniani,mwenye huruma ,mwenye upendo na si mwepesi was hasira.Ingekuwa kinyume cha hapo angeshaiteketeza hii dunia long ago,usikate tamaa ya kumuabudu bado anaendelea kuwakusanya walio wake na huwenda ikawa wewe in mmoja wapo.
sometimes nadhani God does not exist why he allow all this thing? why he give Saturn power to kill his people? any way
Tema mate chini. GOD is existing bwana. Haya ni majaribu tu tunapitia.
i say sometimes..... majaribu ya kuua mbona makubwa sana
sawa mkuuYes through this mauaji,Mungu anatupima imani yetu kwake,km we believe his existance and power.
Si unaona hapo hata ww unasema sometimes,kwa maana una mashaka kiasi fulani..
sometimes nadhani God does not exist why he allow all this thing? why he give Saturn power to kill his people? any way
sijakuelewa miss chaga babe!
Hao niwatetee nini si dada zenu mnawavalisha upuuzi huo mnawapiga picha ili muutukane Uislam, unafikiri hatujuwi mbinu zenu za kijinga?