Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

hahahah, ukitupa mawe gizani anaepiga kelele limempata. Afu wewe unavaaga suruali za kushonesha, zenye celebrations afu dont-touch-my-shoes eeh?

Kwenye red ndo masherehe gani yapo kwenye suruali ya kushonesha..............?:confused2:
 
Funguka kama ulivyochana mwanzo sio kufunika jumla eti well dressed......fitting.....smart.....good scent.......

BE CATEGORICAL ama vipi acha masela wavae ile roho inapenda we unataka wote wavae kama MKWEZI wako ebhoooo

mkwezi wangu sio msela kama wewe na mkanda wako wa rasta
 
mkwezi wangu sio msela kama wewe na mkanda wako wa rasta


Ha ha haaaa acha ujeuri bi mdogo mi ni full official bana kama mkwezi wako........ila si unajua kuna watu kazi zao zinawapa uhuru kwa kuvaaa!!!!!!!!

Ndo mana nikakuchokoza utupe hints za smart looking ili ni match na za wifi yako huku
 
1. Kuvaa suruali za kubana.
12. Kuvaa misuruali mipana kama kanda Bongoman.
Ni kama unauliza swali halafu unajijibu.
Sasa wewe unataka nini hasa, anaevaa nguo za kike? Naona una stress tu unatafuta pa kuzitolea.
 
1+1=11....
 
Ebwanaeeee, ndio maana wanasema muonekano wako wa nje huonesha akili yako ilivyo. Ndio maana hukuti kichaa msafi wakati akili zake chafu. SASA HAPO JUU NDIO MTINDO MPYA WA SURUALI AU?
 
weka picha

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kaptula za kiba anazovaa sasa hivi ni kama boxer vijipaja vyote inje sijui anatafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…