masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,695
- 14,717
Mawaziri wangapi umewaona wakitoa maagizo na dress code hii?View attachment 686722 Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.
Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.
Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.
Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.
Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
View attachment 686722 Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.
Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.
Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.
Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.
Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
Hamis Kingwangala anavaa kutoa impression kwa public kuwa yupo vitani kila wakati. He is so funny!
Kigwangala ni comedy kwa kweli!Hamis Kingwangala anafaa kutoa impression kwa public kuwa yupo vitani kila wakati. He is so funny!
Kweli kabisa, hata seriousness ya shughuli ya kiserikali inapotea.Kweli kabisa, inaleta ukakasi pale mnapotinga suti kumpokea mgeni halaf yeye anafika kavaa nguo za michezo kwa ziara isiyo ya kimichezo.
View attachment 686722
Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.
Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.
Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.
Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.
Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
Hayo ndio madhara ya kuchagua watu washamba .View attachment 686722
Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.
Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.
Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.
Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.
Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
Unazungumzia zile suit za mkoloni?, asili yetu ni majani, hata hivyo wanajitahidiView attachment 686722
Tumeona jinsi mawaziri wetu wanavyovaa hadharani.
Kwa wengine inasikitisha.
Mawaziri ni kioo cha utendaji Serikalini, kuwa smart ni lazima na si ombi.
Mawaziri kama Kangi Lugola, Kigwangala, Mpina na Nchemba, wanavaa vitu vya ajabu ajabu.
Najua kuna official Dress Code kwa Waziri akiwa kazini na hadharani.
Kuvaa track suit na huku unatema maagizo na katumbo kana portrude kidogo inaonyesha yule anayeshughulikia nidhamu kwa mawaziri amelipuuzia hili.
Huyu mbunge wangu mwacheni jamani sometimes anapiga za ki-model.Hamis Kingwangala anafaa kutoa impression kwa public kuwa yupo vitani kila wakati. He is so funny!
Akaongezea na ni wa ajabu ajabu!!!Anaewateua alishawaita wapumbavu..
Unategemea nini.
Yawezekana maana aliyewateua hivi karibuni amewashutukia sana% kubwa ya Mawaziri ni mzigo kwa Taifa!!!!!