Dreamliner ATCL yatumwa Sudan

Hivi hizi dege zilinunuliwa kufanya biashara au showoff kuwa na tz tuna bombadia na dreamlina? Sion biashara inayofanya hapa. Wanajeshi wana mandege yao. Pia UN huwasafirisha.
 
Hivi hizi dege zilinunuliwa kufanya biashara au showoff kuwa na tz tuna bombadia na dreamlina? Sion biashara inayofanya hapa. Wanajeshi wana mandege yao. Pia UN huwasafirisha.
"Ongea poulepoule mkuu usije kuonekana una wivu au weye ni li-CHADEMA unatumika na mabhebheru"!Hivi haujui kwamba ukiongea au kujieleza kwa akili zako halisi za kujitegemea unachukiwa mkuu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”«
 
Safari njema wanajeshi wenzangu
 
Kwa hiyo "sisi" jeshi la sungusungu haturuhusiwi hata kupunga mikono tu.Acheni ubaguzi.Wanajeshi ni kupendana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie sungu sungu sio jeshi ni mkusanyiko Wa walinzi mtaa
 
Duuh!
Mkuu unaombea mabaya tu. Huko Darfur hakuna vita ya namna hiyo.

Janjaweed hawatungui ndege.

Pia hiyo ndege ina bima inapofanya safari kama hizo. Sio mara ya kwanza kwa UN kukodi ndege kusafirisha walinda amani.
 
"Hawatungui ndege"!Kweli?Safari za India zilikufa?
 
Brilliant idea πŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒ
 
"Hawatungui ndege"!Kweli?Safari za India zilikufa?
Have you listened everything in the attached video clip?
What you are asking has answers galore if you listened carefully.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…