Dream league soccer

Dream league soccer

Nilitaka nihack lakini baada ya kusoma baadhi ya michango ya watu nimeona bora niendelee kukomaa tu na hii level niliyofikia sasa "Division one". Ila kupata coins za kutosha ili udevelop uwanja ni changamoto kubwa huku ukikutana na team zenye wachezaji wenye uwezo mkubwa
Mie nili dowbload la kuhack nikaona haina maana nika download upya la kawaida mpaka sasa niko hapaView attachment 1215799View attachment 1215799View attachment 1215799View attachment 1215800View attachment 1215800
 
Hatimae nimefakiwa kuhack. Lakini nimejifunza kitu kimoja cha msingi sana. Kuhack hakuna faida yoyote ile maana hakuna tena ushindani.... yaani unashinda weeeeeee.!!! Hahhhhahhh... du bora ucheze tu gemu halali
Meaning you're not enjoy the game anymore after hacking it, are you?
Wacha nami nikomae na original mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom