Watu mnacheza adi na Che Malon
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu mnacheza adi na Che Malon
ππNimecheka balaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mkorofii ba tamu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Nimecheka balaa
Na hapo katoa coins za kwenye game kumnunua lazima nichekeππWee mkorofii ba tamu. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Na hapo katoa coins za kwenye game kumnunua lazima nicheke[emoji2][emoji2]
Me nimehama huku kaka nipo efootball DLS nina mwaka sasa sijalichezaDls king, master, JamiiForums Goat
THE JAMIIFORUMS BEST DLS PLAYER OF ALL TIME
Nahitaji upinzani wa DLS ndani ya JamiiForums
Oya acha kujisifia , jukwaa zima linajua Mimi ndiye King wa DLS kutokana na rekodi zangu mbalimbali mpaka nikawa nafanya mpango nishiriki majukwaa ya nje nipate challenge ya DLS maana uwezo wangu ni mkubwa sana .Dls king, master, JamiiForums Goat
THE JAMIIFORUMS BEST DLS PLAYER OF ALL TIME
Nahitaji upinzani wa DLS ndani ya JamiiForums
Nina kama mwaka sasa sijacheza DLS unavyoanza kutamba uatafosi unirudishe majeshi upaya maana sipendi mtu atambe pande zangu.
Mimi nikaja E-Football jiandaeni kuniita King πMe nimehama huku kaka nipo efootball DLS nina mwaka sasa sijalicheza
Nimeshangaa sana Fondo kuwepo DLS basi ata Bakari Nondo anaweza kuwepo kwa staili hii .Watu mnacheza adi na Che Malon
πMimi nikaja E-Football jiandaeni kuniita King π
Safari hii nitakuwa na daftari langu la kumbukumbu sitaki blaa blaaOya acha kujisifia , jukwaa zima linajua Mimi ndiye King wa DLS kutokana na rekodi zangu mbalimbali mpaka nikawa nafanya mpango nishiriki majukwaa ya nje nipate challenge ya DLS maana uwezo wangu ni mkubwa sana .
Maunyama yapo megi, ngoja nianze kutafuta emoji za kutia uchungu WhatsAppNina kama mwaka sasa sijacheza DLS unavyoanza kutamba uatafosi unirudishe majeshi upaya maana sipendi mtu atambe pande zangu.
Vipi DLS ya Sasa Kuna maunyama gani mapya ? maana screenshot uliyoweka nimeona kama Kuna improvements mpya
Nitakuja huko Razorblade jiandae kabisaUje
π
Razorblade why wewe tuππππΎNitakuja huko Razorblade jiandae kabisa
Napenda watu wenye matambo na kujisifu ili nikimkanda nimcheke mpaka aoene aibuRazorblade why wewe tuππππΎ
Sawa sawa mkuuπππΎNapenda watu wenye matambo na kujisifu ili nikimkanda nimcheke mpaka aoene aibu