CodeHakuna aliye free
Naam kaka kwema??
CodeNaam kaka kwema??
Ngoja nililudiCode
Ligi ya hela join hapo👆
Kitambo sana nipo nje ya gemu kabla sijaenda akwemye ushindani nahitaji gemu nyingi za kirafiki .
Njoo utapata za kirafiki. Ligi inaishia ina maana muda wa usajili uwepo usajili timuKitambo sana nipo nje ya gemu kabla sijaenda akwemye ushindani nahitaji gemu nyingi za kirafiki .
Uchezaji wako pesa yako... Changamkieni fursa hiyo.
Ongezea nyama mkuu mbona hujafafanuaUchezaji wako pesa yako... Changamkieni fursa hiyo.
Join mzee tuko kwenye playoff, ligi itaanza siku za karibuniOngezea nyama mkuu mbona hujafafanua
Tupo mzee