Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Wale jamaa wa yemen wanaoshambulia kulipa kisasi cha israelNdo watu gani sheikh
Wale jamaa wa yemen wanaoshambulia kulipa kisasi cha israelNdo watu gani sheikh
Hamna maajabu ni yaleyale tuVp wakuu kwema humu, nmeingia kwenye game baada ya miez mitatu naona kuna updates tena nyngne MB's kibao, nin kipya?
niajeHamna maajabu ni yaleyale tu
Leteni code tukiwasheHamna maajabu ni yaleyale tu
Njoo kwangu upashe na kibondeGudi bwana Singasinga
Now nimeshaiva anyway nitakuibukia
Trick ni kusajili wachezaji wenye nguvu kuanzia 80+Wakuu Kuna Trick Yeyote Kuhusu DLS 2024 Nataka Nichape Sana Watu Hapa Mtaani Kwangu....!! Niongezee Ujuvi Wakuu
Tricky ni kucheza na watabe kama MTO MARA ili upate skillsWakuu Kuna Trick Yeyote Kuhusu DLS 2024 Nataka Nichape Sana Watu Hapa Mtaani Kwangu....!! Niongezee Ujuvi Wakuu
Hii sio Kwel aboreshe kiwango chakeTrick ni kusajili wachezaji wenye nguvu kuanzia 80+
Kwa hiyo kiwango ataboresha kwa kutumia wachezaji wa Amateur?Hii sio Kwel aboreshe kiwango chake
Ndio unaweza kua na wachezaji wenye black card na bado ukala kichapo kutoka Kwa wachezaji amateurKwa hiyo kiwango ataboresha kwa kutumia wachezaji wa Amateur?
Wachezaj hawachezi kumbuka ilo?Kwa hiyo kiwango ataboresha kwa kutumia wachezaji wa Amateur?
1. Upgrade Training Facilities mpk Level ya Mwisho. (Hapa utaweza kudevelop level ya legendary Kwa Gems{diamond} 157)Habaribya ujenzi wa taifa?? Nimatumaini yangu wengi wenu hamjambo, shida yangu ni moja, nataka niwe nawachezaji wenye black card kikosini je ni njia ipi ya kuniwezesha zoezi hilo ili litimie, Kwa maana Haland pekee ndio ana 87 kwenye kikosi changu. Msaada wa mbinu ya kujaza wachezaji tafadhari