Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,981
- 4,116
NipoUpo au
NipoUpo au
Lete code mkuuNjoo unakaribisha katika ulimwengu wa vipondo saa yeyote wewe nitag Tu.
Tuwekeane muda saa 3.30 utakuwepoNipo
Weka code ,wewe so ulitaka mtu mbona unakimbia sasa ?Nipo
2525ALete code mkuu
Saa 3.30 kdg mukuje nicheze km Game 3 then nilee Ndoa kdg araf Saa 5 mje tenaUtanitag..
Code inahusiana vipi na hayo unayosema.?Kwa Code hii hapa hakuna Mchezaj adriz ukifungwa na huyu usije kuniomba Friend Match tena.
Poa nakuja2525A
Kivipi code ihusike kwani uwezo unapimwa na code ?Kumbe ni Code yako adriz nimegundua kumbe kuwa Kibonde ni Halali kabsa
Ukimaliza uje hukuPoa nakuja
Hii Level ni ya Juu ss bado ujafikia Kaka ukifika utaelewaKivipi code ihusike kwani uwezo unapimwa na code ?
Umekimbia ,ngoja nifanye yangu sasa.Poa nakuja
Mimi najua kutoa vipondo mambo ya code ya kimaster hakuna utofauti na kuamini Imani za kishirikina .Hii Level ni ya Juu ss bado ujafikia Kaka ukifika utaelewa
OyaUmekimbia ,ngoja nifanye yangu sasa.
Acha maneno meng njoo nakuchek kwa code yakoMimi najua kutoa vipondo mambo ya code ya kimaster hakuna utofauti na kuamini Imani za kishirikina .