Ok. Ngoja nikueleweshe vyema.
Ulishawahi kushika umeme ukaona nywele zimesimama au kushtuka kitu mpaka ukahisi kuna energy imepita kwenye nywele au vinyweleo? That was not a joke kwenye Cartoons, ni physics. Nywele ni part ya mwanadamu inayohisi Umeme na mawimbi ya Universe, just like Antena. Is not a myth is a science. Hakuna neva za ukuaji zinazotoka kwenye ubongo kwenda kwenye nywele, hivyo ni kitu cha kushangaza jinsi nywele inavyokuwa kwa kujitegemea. Kumbuka mwanadamu peke yake duniani ndie kiumbe maarufu mwenye nywele zinazokuwa continuously katika maisha yake, not compared na primates wengine kama sokwe au nyani.
Katika surrounding environment kuna frequency kama mawimbi katika Universe yote. Kila kiungo pia kina frequency yake kutokana na energy inayotumika mfano Brain frequency ni 80-82 MHz. Hair inaweza kusense kama frequence imezidi ikabalance frequencies za ndani ya mwili na nje ya mwili.
Sema sasa, nywele inatakiwa iwe natural kuboost uwezo wake. Mtu mwenye nywele zenye dawa, nywele zake hazina uwezo tena maana ndani ya nywele ya asili kuna mpangilio wa particles ambazo zinatakiwa ziwe katika natural state fulani ili ifanye kazi, bila hivyo ni kama una kamba kichwani na sio nywele tena maana haina kazi tena.
Kwa nywele inayosukwa na kukazwa mara kwa mara wakati wa kusuka ina upungua uwezo ila kidogo sana. Sio kulinganisha na nywele zinazowekewa dawa muda wote.
Ndio maana watu wa kale walihisi nywele zina power na kukupa wisdom katika meditation. Just like samson!