Ni kupita kimya kimya kuaga na kuondoka, walau kumtunzia marehemu heshima yake ya mwisho.Hamjasema lakini mngefanya nini kama ungekuwa mchepuko ukakakutwa na haya.
Sheria za kimila zina tofauti...Hakuna kitu kibaya kama utegemezi, unakufunga uhuru wako kabisa.
Sasa ukute mchepuko ana watoto, hana kazi wala nini, lazima afuate masharti yote anayopewa.
Afu hivi michepuko nayo huwa inataka urithi? Hata kama haijulikani? Sijajua sheria zikoje hapa.
Maana hata kwa customary law, kuna jinsi ya mtoto kutambuliwa/shwa rasmi, huyo anaweza kufikiriwa kurithi.
Mwenzetu mzembe kweli miaka 19 lol!!!!! ilibaki miaka6 tu wafanye jubilei ya kuchepuka........
Eti miaka 19 mtu anashindwa kufanya maarifa awe financially independent...!!
Eti miaka 19 mtu anashindwa kufanya maarifa awe financially independent...!!
Mimi ningeenda lakini sio kwa kujishaua, mazishi yakiisha wakati wa vikao vya familia kuwaonyesha watoto kwao. Kama ntapata mgao sawa nisipopata siwezi kulazimisha ni kuanza kujipanga upya tu.
Sheria za kimila zina tofauti...
wahaya mtoto anayetambulika ni yule ambaye baba akiwa hai alimleta nyumbani wakamjua...
Nina wifi yangu alizaa na jamaa mmoja wa kihaya..
Jamaa alikuwa na pesa ndefu afu wifi akapitiwa na kuzaa juu...
Huyu baba alikuwa jirani na kwa mume wangu; wifi alikuja kukaa kwa kina mume wangu kwa muda (mtoto wa mama yao mkubwa)...na akapata mimba...
Halikataa kusema ni ya nani...
Ila baadae ndugu walijua...
Lakini yule mtoto hakuwai kupelekwa kwa baba yake rasmi...
SIku yule baba kafa waliishia kwenda msibani mtoto na mama yake...
Hakupewa hata thumni...mila za Kihaya hazitambui mtoto anayejitokeza mzazi akifa...
HUyu wifi yangu aliolewa lakini...tena na muhaya...labda ndio maana hakuona umuhimu wa kumpeleka mtoto kwa baba yake kwani mumewe alikubali kuishi na mtoto kama wake...
Ila baba halisi wa mtoto alikuwa tajiri mkubwa Mwanza...labda naye (mtoto)angepata mtaji...
Same old stories michango mingi imeangukia kwenye Mali.
Dah! Wanadamu ni kazi , hasa wanawake.
Sisi waislamu tunamtambua mtoto alie zaliwa katika ndoa,or mtoto alie zaliwa baada ya ndoa,na sio kabla ya ndoa. Haijalishi kama mchepuko alie fanya siri na kuibuka, cha msingi hapo kibaangalia ndoa, mashahidi wa ndoa.
Kumbe umewaza kama mimi! Kumbe mali ndizo zinazowaweka wanawake wengi kwenye ndoa!
Ni mali, pesa, assets nothing more!
Hakuna kitu kibaya kama utegemezi, unakufunga uhuru wako kabisa. Sasa ukute mchepuko ana watoto, hana kazi wala nini, lazima afuate masharti yote anayopewa. Afu hivi michepuko nayo huwa inataka urithi? Hata kama haijulikani? Sijajua sheria zikoje hapa. Maana hata kwa customary law, kuna jinsi ya mtoto kutambuliwa/shwa rasmi, huyo anaweza kufikiriwa kurithi.
Inawezekana mke mkubwa alikua anajua ila akaleta jeuri tu na ndugu wa mume wakamfungia vioo.Mi nadhani wangejitokeza mapema kukiwa asubuhi kama kuna chao wajue mapema.
Inawezekana mke mkubwa alikua anajua ila akaleta jeuri tu na ndugu wa mume wakamfungia vioo.
Yapo sana haya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akati mwingine inasaidia kupunguza uchungu wa kufiwa...
Unapata reason ya kumchukia marehemu...
Maana hata machozi yanaweza kugoma aisee...
Kuna baba wa rafiki zetu alipata ajali akiwa na malaya kwenye gari...wote wakafa...walikuwa wamelewa chakari...akauvaa mti
Mkewe hakutoa hata chozi....alikuwa anasonya tu msibani...naona anatamani wasingekufa wampe majibu...
TobaaaaKuna msiba fulani tulishuudia mdada analia kupita wafiwa...kila mtu alikuwa anataka kujua uhusiano wake na marehemu...
Maana si ndugu waka mke aliyekuwa anamjua huyo mdada...
Ila yeye hakutaka kusema kilichokuwa kinamliza...lakini minong'ono sasa...unasikia huyu lazima awe small house...
Mbaya sasa jamaa alikuwa kafa na ngoma...