Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Sometimes back kilinuka mitandaoni kuhusu yule mpenzi wa ice Prince ambaye Shilawadu alianika siri yake ya kutoka kimapenzi na mzee flani milionea. Kilichonishangaza kwanini huyu msichana asitosheke na kuhongwa na Ice Prince ambaye anahela tena handsome.
