Drake na rihanna sasa ni wapenzi

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
Baada ya kuwepo tetesi nyingi kuwahusu, sasa imethibitishwa kuwa Drake na Rihanna ni wapenzi. Vyanzo mbalimbali vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Rihanna na Drake wametoka kwenye ukaribu wa kawaida hadi kuwa na uhusiano serious wa kimapenzi.
Rihanna+Drake+2011+NBA+Star+Game+Performances+vX7jhakwkZQl.jpg


lMtandao huo umedai kuwa Rihanna anataka kutumia muda mwingi na Drake pindi muda wake ukimruhusu kwakuwa Drake anamtreat vizuri kuliko mwanaume yeyote aliyewahi kuwa naye. Wawili hao wamekuwa pamoja wakati ambapo Drake akiwa na ziara barani Ulaya na vyanzo vimesema kuwa wamekuwa pamoja kila siku tangu waonekana pamoja kwa mara ya kwanza

SOURCE:BONGO 5
 
Bora akae na Drake tu yuko poa mchizii labda ye na uchizi wake tu rir
 
Hivi Drake sio mpenzi wa tattoo, nimeona video zake nyingi na sijawahi mwona na mchoro wowote.
 
Back
Top Bottom