Hili limesimama nimecheza mara 2 nimepigwa moja na draw moja kwenye 100% levelCheckers by Dalmax.... Lipo Playstore.
Unforgetable
Mnaweza cheza wawili pia kila mtu kwenye simu yake kwa kufanya bluetooth pairing.Hili limesimama nimecheza mara 2 nimepigwa moja na draw moja kwenye 100% level
Nikitulia usiku nita deal nalo
Dalmax ni funga kazi ni gumu sana, hasa uki set ugumu 100%Checkers by Dalmax.... Lipo Playstore.
Unforgetable
Mi nampa sale huyo Dalmax, ni mzuri ila tatizo lake hawezi kopy za pembeni. Ukitaka kumfunga kwa wepesi basi muanzishie copy za pembeni.Dalmax ni funga kazi ni gumu sana, hasa uki set ugumu 100%
Mkuu mi amenishinda kwenye level 100 aiseeMi nampa sale huyo Dalmax, ni mzuri ila tatizo lake hawezi kopy za pembeni. Ukitaka kumfunga kwa wepesi basi muanzishie copy za pembeni.
Nipe number yako ya whatsap nikutumie videoMkuu mi amenishinda kwenye level 100 aisee
Hebu tupia ka screen shot nione kama kweli anafungika kwenye 100%
Mwenye mia anajua kidogoMkuu mi amenishinda kwenye level 100 aisee
Hebu tupia ka screen shot nione kama kweli anafungika kwenye 100%
Mimi naomba kuuliza tu.Dalmax level 100 hii Hapa, dalmax kapigwa vitasa na mwarabu.
Inategemea na taifa ulilochagua, jaribu Brazil ndiyo ina uhuru mwingi.Mimi naomba kuuliza tu.
Mm nacheza la biginers mbona kingi wangu akiingia nikitaka nimvushe kwenye vyumba vingi ile atue chumba labda cha nne haikubali ?
Kwa nini hii ?
Napenda sana draft
Anhaaa poa mzee baba asanteInategemea na taifa ulilochagua, jaribu Brazil ndiyo ina uhuru mwingi.