Kwasasa nipo kigamboni. ..kuna watu Kama akina juma mchafu ,jet leee hawa wote mabingwa Wa draft kwa hapa Tanzania lakin wakisikia jina la MAKOTI wananiogopa na watajificha siku hiyo wakiambiwa nimefika hicho kijiwe.... Ntafute Mimi Ni bingwa Wa mabingwa... Ukicheza kete moja tuuu nakupa matokeo ya mwisho
Bingwa hapa baada ya kete mbili kusukuma nakuwa nishakufunga
kete mbili haiwezekanKete 1 kitu kisichowezekanaKwasasa nipo kigamboni. ..kuna watu Kama akina juma mchafu ,jet leee hawa wote mabingwa Wa draft kwa hapa Tanzania lakin wakisikia jina la MAKOTI wananiogopa na watajificha siku hiyo wakiambiwa nimefika hicho kijiwe.... Ntafute Mimi Ni bingwa Wa mabingwa... Ukicheza kete moja tuuu nakupa matokeo ya mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
hujacheza na mimi kijana
Ndio nakuambia haiwezekani hata kete 2 haiwezekanihujacheza na mimi kijana
Huu mchezo mm nachezaga bila formula. Najikuta nme mfunga kibonde au nimefungwa.Kwasasa nipo kigamboni. ..kuna watu Kama akina juma mchafu ,jet leee hawa wote mabingwa Wa draft kwa hapa Tanzania lakin wakisikia jina la MAKOTI wananiogopa na watajificha siku hiyo wakiambiwa nimefika hicho kijiwe.... Ntafute Mimi Ni bingwa Wa mabingwa... Ukicheza kete moja tuuu nakupa matokeo ya mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mchezo mm nachezaga bila formula. Najikuta nme mfunga kibonde au nimefungwa.
Hebu nipe hints, jinsi ya kujipamga kwa formula
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar yoote na majirani wake hamnaga mchezaji wa draft.Kwasasa nipo kigamboni. ..kuna watu Kama akina juma mchafu ,jet leee hawa wote mabingwa Wa draft kwa hapa Tanzania lakin wakisikia jina la MAKOTI wananiogopa na watajificha siku hiyo wakiambiwa nimefika hicho kijiwe.... Ntafute Mimi Ni bingwa Wa mabingwa... Ukicheza kete moja tuuu nakupa matokeo ya mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app

una mikwara
Dar yoote na majirani wake hamnaga mchezaji wa draft.
Nikishatokaga na medani yangu hapo jiji la kike.