All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,452
- 2,571
Mi kinachonishangaza ni baadhi wa wanachama wa CCM ambao wanamponda Dr Slaa kila siku hapa ndo wamekuwa wateteaji kwamba ameonewa.
Nia ya CCM ni CDM ife na kama wanavyodai Lowassa anaenda kuiua CDM sasa kwa nini wana CCM wasifurahie hilo jambo? Au tunapakana mafuta kwa mgongo wa chupa? Ni nini ambacho wanaogopa?
cc mwekundu
Ccm kwao ni furaha kubwa sana maana hawataangaika na lowassa kwenye kampaini. Afu jua kutoa maoni ni jambo huru
Last edited by a moderator: