Character X
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 331
- 382
comrades, salaam!... niruhusuni niyaeleze haya!. ninafahamu wote tumeyasikia yanayosemekana kuendelea ndani ya chama chetu (CHADEMA) chini kwa chini,lakini mimi nina haya yakusema.. Dr. W Slaa nina muheshimu sana! kwa utendaji wake mahiri.. na ufuatiliaji wa mipango na umakini wa utekelezaji wa mambo, na kwakweli utumishi kwa movement yetu hii uliotukuka.!!! nina imani naye sana!!, na ninamfahamu kwa hekima aliyonayo, na uuelewa mkubwa katika mambo ya siasa na uongozi ulimwenguni kwaujumla.
Sinashaka kabisa na ufahamu wake wa maswala haya ya utawala na uongozi wa watu. sasa, nina amini au niseme ningependa kuendelea kuamini kua anafahamu na anakumbuka what the big picture was, who the reall enemy was, and what the target of our fight has always been. Up rooting CCM!!, that has always been the target and the firts imediate goal in our fight!! i believe that has not changed!..
Sasa kwa uwezo mkubwa alionao as a visionary leader- (ninamfahamu vizuri!!) naamini atakua mtu wa mwisho kutukwaza katika mapambano haya in such a vulnarable time. niwaombe nyote mnaoitakia mema Tanzania yetu kuhakikisha tunasimama pamoja katika hatua hii. Tuelekeze nguvu katika kumpiga adui.,!! its NOT time for self distruction!! it has been enough of CCM!., tuwaondoe sasa.,
Baada ya yote tuliopitia katika mapambano haya, wakutukwamisha kwenye mapambano haya hawezi kuwa Dr. W Slaa. Nina imani naye. Comrades,
Nawashukuru