Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

sasa CCM wamekwisha wekwa kibla sasa DR SLAA aondoke itakuwa akili au tope?
 
Wewe manyerere jackton ni mnafiki mkubwa. Poleni mnaomuamini. Manyerere unanunulika, na hii thread ni kwakuwa umeshatumwa kwa kulipwa.
 

Mimi nikafikiri umeongea nae au umepata taarifa rasmi toka kwa viongozi kumbe hisia tuu
 
Kwani vyote hivyo alikabidhiwa usiku mpaka avirudishe usiku?

Ameogopa nini kurudisha mchana??

Otherwise hongera zake
 
Josephine mushumbusi aache kutumika na CCM na TISS kwa kujazwa ujinga kuwa yeye ataukosa u-first lady...huo ni upumbavu...
 
Dr.nakuunga mkono mbowe analeta usanii kwenye mambo ya msingi
 
Umesema hisia zako tu ambazo sio facts!
Hisia zako ni zako mwenyewe.

Bado kichwa chako cha habari hakina mashiko!
 
Watu wanapenda kusikia mazuri tu. Hahahahaaaaaa!!
 
Manyerere kwanini unapunguza heshima yako kiasi hiki.
 
Mkuu mpigie simu na uirekodi sauti yake utuwekee humu ili tuamin bana maana mnanichanganya bana.
 
Dr slaa ni injin muhimu ndani ya ukawa tusijidanganye kuwa akiondoka hakuna kitachoharibika cdm na ukawa tunajidanganya sana na majuto ni mjukuuu
 
Dr.slaa ana akili Sana..hakubali kuwa sehemu ya uchafu unaofanywa na mbowe
 
Labda aache siasa unadhani ataenda chama gani?
 
Kiukweli siwezi kuwa mnafiki kusimama kinyume na Dr Slaa sasa....nitasimama nae baada ya kumsikiliza na kuridhika.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…