Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

Kwa hilo sijawahi kukutukana ila kuna Habari ya mzungu mmoja aliekua anafuatilia mateso ya watu Wa loliondo walionyang'anywa ardhi kwa Habari uliyoitoa wewe ni MPUMBAVU
 
Narudia Tena wewe Manyerere ni mpumbavu
 

Attachments

  • 1441176566795.jpg
    79.8 KB · Views: 531
  • 1441176590449.jpg
    81.7 KB · Views: 310

Makene rudi ukanushe hii post.
Aibu juu ya aibu.
Chama chenye watu wa aina hii kinawezaje kuaminika?
Bosi wako Mbowe aliapia kwa kusema "over my dead body" kuwa hawezi kumpokea Lowassa kuingia Chadema. Haikupita muda mrefu kampokea.
Wewe umekanusha kwa kejeli habari hii ya ukweli aliyopost Manyerere hapa, leo ukweli umedhihiri, umeumbuka ndani nje!
Aibu aibu. HAMUAMINIKI.
 
Kama alitoa notice ya mwezi mmoja alistahili mafao yote hayo. Ingeshangazwa kama angeendelea kupata vitu hivyo katika mwezi wa September.
 
Reactions: SMU

Mheshimiwa tafakari unapoandika. Kwanza tungeuliza alitoa notice ya siku ngapi ya kujiuzulu? Kama ni 24 hours, hiyo ajira inakoma hapohapo na kwa taratibu za sheria za kazi alipaswa kukilipa chama mshahara wa mwezi mmoja na kurudisha mali zote za chama siku ileile ya 30 July. Kama alitoa notice ya mwezi, inamaana ajira yake ingekoma 31 August, na inamstahilisha mshahara na marupurupu yote yanayohusika kwa mwezi August.
 

Kazi ya mwandishi wa habari ni nini? Mpaka atafute sifa ya kuwa aliandika kuhusu kitu fulani.
Duu!
Bingo bwana!
 

Lisu kisha kesha kanusha. Slaa kalamba mshahara wa Ukatibu mkuu mpaka juzi. Gari na walinzi anaowatumia at least mpaka jana wanalipwa na chama.

Slaa na Gwajima ndiyo wslimpeleka Lowasa kwa Mbowe. Kama Slaa hakumtakataa Lowasa mbona alikuwepo kwenye kikao cha kumkaribisha Lowasa!?
 
Hii taarifa uliyoileta ilikuwa ni UTABIRI
sina uhakika kama ulikutana na Dr Slaa
ninachomlaumu Makene ni mara nyingi amekuwa mseamaji wa CHADEMA, Mbowe UKAWA na hata Lowassa
angekuwa anaangalia na upepo sio ushabiki tu wa mpira (sisi Bila wao bao tatu 0-3 na wala hawajui kucheza)
 
Manyerere Jackton kakuumbueni enyi wanafiki wote. Ukweli umedhihiri, aibu imewakaeni. Kuomba radhi ni uungwana
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwako Manyerere

Hata kama hawatakuomba radhi lakini kimoyomoyo wataona aibu...
 
Tumaini Makene ni muongo aliyekubuhu.

Alikana taariaf za Lowassa kuhamia Chadema huku akisema atahamia ACT. Amekana taarifa za Slaa kujitoa Chadema huku akijua kuwa Slaa kashapeleka barua ya kujiuzuru.

Hivi Mods kwanini huyu Tumaini Makene asipigwe ban?
 

Hotuba ya Dr. Slaa anasema alijiuzuru rasmi 25. 7. 2015! Na kwa muda huo wote hakufanya shughuli yoyote ya Chama! Ww unaongelea August! Alipaswa yy ndie asacrifice Mshahara wa July na wala wa August asingeusikia hata harufu.
Mwasiasa ni tofauti na Mfanyakazi wa kawaida! Make kazi yake hukoma rasmi/immediately baada ya kujihuzuru, kwa mfanyakazi ni tofauti make anaweza kuendelea na kazi hata mwezi mzima.
 
Kama alitoa notice ya mwezi mmoja alistahili mafao yote hayo. Ingeshangazwa kama angeendelea kupata vitu hivyo katika mwezi wa September.
Ukitoa notice ya mwezi unabaki kuwa mwajiliwa kwa mwezi huo wa notice. Kwa maelezo ya mleta mada na hata ya Dr mwenyewe jana, it does appear to me that ilikuwa ni immediate (probably a 24hrs notice!)
 
Nadhani naweza kuchangia hekari kadhaa kama ataniahidi anaenda kulimia mihogo na maharage
 
so Manyerere Jackton was right after all....

No,
He was totally WRONG.
Gari halikurudishwa,
Walinzi hawakurudishwa,
Nyumba haikurudishwa,
Na hata mshahara haukurudishwa.

Labda pengine kadi tu ndio iliyorudishwa
 
Last edited by a moderator:
Nadhani naweza kuchangia hekari kadhaa kama ataniahidi anaenda kulimia mihogo na maharage

Mshindia mihogo na maharagwe hawezi kukodi ukumbi Serena Hotel akalipia matangazo media zote kubwa nchini
 
Manyerere Jackton kakuumbueni enyi wanafiki wote. Ukweli umedhihiri, aibu imewakaeni. Kuomba radhi ni uungwana
Kakuumbua wewe usiyetaka kumuomba radhi
Mimi nimemuita ni mrithi wa Sheikh Yahaya kwani alitabiri Dr Slaa kuondoka CHADEMA na jana kaondoka kweli
na habari nyingi tu huwa anatabiri na baadaye hutokea au isitokee
 
No,
He was totally WRONG.
Gari halikurudishwa,
Walinzi hawakurudishwa,
Nyumba haikurudishwa,
Na hata mshahara haukurudishwa.

Labda pengine kadi tu ndio iliyorudishwa

Hata kadi haijarudishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…