DR. W. SLAA Abonga : HIMIZA MABADILIKO !!!

Kikarara78

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
1,495
901
Wana JF,
Dr. Slaa amewataka Watanzania wote kuhimiza mabadiliko badala ya kulalamika, kwa Pamoja tunaweza amesema.

"Je wajua kuwa wewe ni mmoja wa watakaoleta mabadiliko katika nchi hii? Acha kulalamika,himiza mabadiliko. PAMOJA TUNAWEZA - Dr.Slaa"

Source: Dr. W. Slaa Facebook Status
 
kama unaona kuna ulazima wa mabadiliko katika nyanja yoyote basi himiza hayo sio lazima akutafunie kila kitu! kuna mambo chungu mzima kama katiba, tume huru ya uchaguzi, uwajibikaji wa viongozi mfano unaona sawa meli yenye uwezo wa kuchukua watu 600 ikachukua watu 3589? kwa nini waziri, mkurugenzi wa bandari, wamilki hawawajibiki? lingine vyo visivyo na tija kama uRC/uDC himiza mabadiliko katika hayo. nadhani umepata mwanga sasa.
 
Back
Top Bottom