Dr W.P.Slaa ondoa mashaka kuhusu UDSM

Na ni kweli kuwa at a resonable or rather good percent UDSM, provides a good number of graduates that fit in various situation, na hata kama siyo kila situation,but they can stil cope, abide and adapt new ways in challengful environment
even though some graduates hawapo hivo. Neverthelss some of other university in TZ have those criterias, bt for UDSM, there is that distinctive extra feature, ranking 4th, trully is somethin, come what may UDSM deserves the credits. its my point of view not political though..:coffee:
 
Hivi chuo kizuri kila product ni nzuri na chuo kibaya kila product ni mbaya? Tuna Sekondari zetu za kata kuna vijana wanatoka na ufaulu/uelewa mzuri (wakati mwingine kuwapita walioko shule za St).
 
Kwani dr. Slaa akasoma chuo gani mpaka apate moral authority ya kuhoja kiwango cha elimu cha UD?

Kweli vichwa vya watu wengine ni vya kufugia nywele. Unaambiwa Dr. Slaa hajawahi kuwa na shaka na chuo bali na Mwigulu bado unaquestion moral authority? Subiri hapo hapo utaipata.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
sijaridhishwa na nafasi ya Muhimbili , naomba kujua vigezo vilivyotumika .
 
slaa hana uhalali wa kuhoji elimu ya udsm. kasoma chou gani masomo ya sekula (sircular edctn)? yeye kasoma divinity na ni dr wa canon law. kiingereza chenyewe hajui. hii nchi kila alie na mdomo mpana anaupanua tu ilimradi aongee? slaa acha hizo. kalee kichanga
 

Mh.ukibishana na binadamu utaumiza kichwa pasi na sababu.hapa Duniani wapo binadam ambao ni"WANADAM MAALUM"kwaajili ya kuukataa ukweli,majigambo,ufitini,ufisadi na kuwabuguzi wenzao mpaka siku wanakufa...ulichokifafanua kinauhalisia ingawaje udsm inanafasi nzuri ktk utoaji wa elimu Afrca.
 
mjomba mbona hauleweki?

Hata mm simuelewi kabisa!

UD kiwe chuo cha 4 kwa elimu bora Africa?This is more than a joke!Link uliyotafuta haya unayotuandikia ni kwenye popularity surf na sio Quality ya elimu yake!

UD ivishinde vyuo kama America University in Cairo?Ivishinde vyuo kama Durban University?Acheni kuota mchana nyie watz!
 

Mkuu vipi kuhusu Mzumbe, UDOM, Tumaini, SAUT, Arusha University, ARU?
 


mbona wengi sana;;;;;na prof. Benson Banana ;;;; weka pala kabudi;; mkuu wa kaya; weka chenge;weka werema; labda inaongoza kwa kutoa mafisadi wengi; inaandaa wasomi jinsi ya kufanya kuchakachua;;;;;

kwa sasa labda sokoine
 

tafiti ya mwaka gani
 

unajicontradict mwenyewe hujui maana ya elimu; chuo chako inatoa degree ya underwear ;; huwa mitaala yake iko wapi
 
Usichanganye habari mkuu, ubora wa elimu ni quite tofauti na uelewa wa wanafunzi. Dr Slaa alikuwa anaongelea link between the quality of educatlon provided and personal awareness and understanding/ application of the knowledge received. Vilaza wapo tu tena wengi hata kwa hicho chuo No. 1.

Kwani ukisikia kuwa USA ni nchi tajiri duniani unadhani hakuna masikini kule????
 
Wow! Kumbe UDSM ni ya nne! I am proud to be one of the product of UDSM.
 
sijaridhishwa na nafasi ya Muhimbili , naomba kujua vigezo vilivyotumika .
hizo ranks sio ranks za quality of education.....ni ranks za popularity ya website...hivyo muhimbili, hiyo nafasi yake au rank yake inatokana na webmaster wao au namna alivyopopularise website yao......mtu mmoja anatuma kitu bila kuelewa anachotuma halafu anaingiza watu vichakani ,wanabaki kujadili wakiwa wamepotezwa vichakani.....check website ya hao waliotoa hizo ranks....utaona methodology yao....4 International Colleges & Universities - About Us
[h=5]The aim of this website is to provide an approximate popularity ranking of world Universities and Colleges based upon the popularity of their websites. This is intended to help international students and academic staff to understand how popular a specific University/College is in a foreign country.[/h]
[h=5]We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study.We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study[/h]
 
Wow! Kumbe UDSM ni ya nne! I am proud to be one of the product of UDSM.
usiwe proud na nafasi ya chuo chako mpaka uelewe kwanza hiyo nafasi ya nne wameshika kwenye kitu gani...je ni quality of education? hapana kabisa

hizo ranks sio ranks za quality of education.....ni ranks za popularity ya website...hivyo muhimbili, hiyo nafasi yake au rank yake inatokana na webmaster wao au namna alivyopopularise website yao......mtu mmoja anatuma kitu bila kuelewa anachotuma halafu anaingiza watu vichakani ,wanabaki kujadili wakiwa wamepotezwa vichakani.....check website ya hao waliotoa hizo ranks....utaona methodology yao....4 International Colleges & Universities - About Us
[h=5]The aim of this website is to provide an approximate popularity ranking of world Universities and Colleges based upon the popularity of their websites. This is intended to help international students and academic staff to understand how popular a specific University/College is in a foreign country.[/h]
[h=5]We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study.We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study[/h]
 

Safi sana mkuu......watu wanakurupuka kweli katika hii rank ya vyuo.....kumbe ni umaarufu wa chuo kwenye web.Nadhani zile nortion za kuita vyuo vingine ni vya kata itapotea.Tuliosoma Udsm hiyo tabia ya kupondea varsity nyingine ilikuwepo sana na ni kutokana na watu kuamini kua hii ranking ilikua ni ya ubora academicwise...
 

slaa hana uhalali wa kuhoji elimu ya udsm. kasoma chou gani masomo ya sekula (sircular edctn)? yeye kasoma divinity na ni dr wa canon law. kiingereza chenyewe hajui. hii nchi kila alie na mdomo mpana anaupanua tu ilimradi aongee? slaa acha hizo. kalee kichanga
 
mzee next time andika kiswahili,ok?
 

Kiingereza kwako ndio manifestation ya usomi wa mtu? Hebu google Urbanian University Rome n do utajua ichosoma Dr kama ni secular or non secular.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…