JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 500
Ni leo jumatano kuanzia 5-7pm LIVE ndani ya kipindi cha HotMix..
Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi naa wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?
Muulize Dr Slaa maswali yafuatayo
Ni kwanini anaonekana kuungwa mkono sana ndani na nje ya chama chake mpaka kufikia kujadiliwa na kituo maarufu duniani CNN? Nini siri yake?
Swali la pili,Anazungumziaje kuwaandaa wanachama kupata viongozi madhubuti katika uchaguzi ndani ya chama?
Swali la tatu,Anatumia njia gani kudhibiti mamluki na maadui wa Chadema?
Swali la nne,Chadema kimekuwa chama kikubwa lakini hakina vyombo vya habari na hiyo ndiyo sababu vyombo vingi vinavyomilikiwa na washirika wa CCM kutumika kukishambulia chama.Chadema inakabili vipi changamoto hii?
Swali la tano,Ni lini Chadema itakuwa na makao makuu ya kisasa yanayoendana na hadhi ya chama chake?
hotmix au supermix?
Mie nataka ufafanuzi juu ya inshu ya LEMA ya ubakaji UK.
mi pia muda umenichanganya mleta mada andika muda in 24 hrsFafanunua vizur huo muda!
mi pia muda umenichanganya mleta mada andika muda in 24 hrs
niwie radhi ase,akianza kuhojiwa utupe update
Soma vizuri mkuu..umeona neno super pale? ni HotMix
Ni maswali mawili ya msingi kwa Dr Slaa.
1. Bavicha karibia wote wameishanunuliwa kwa kuendekeza njaa nani ataisaidia chama kushinda nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu 2012.
2. Kwa nini unakuwa mwepesi wa kukusanya kadi za CCM kwenye mikutano yako huku wewe mwenyewe binafsi kadi yako ya CCM umeificha mchagoni na kuilipia ada kila mwezi.
Mkuu,mbona unaanza kujihami kwani hata Dr Slaa mara nyingi anazungumza maneno ya kiudakudaku bila kuthibitisha ukweli ukimuuliza anakuambia uende mahakamani ili mkatopetezeane muda.Binafsi ningependa waendesha kipindi wawe makini na maswali watakayokuwa wanamuuliza....wasije wakajisahau wakaona
kama wako na Lusinde au Shibuda na wakaanza kumuuliza maswali ya kiujinga ujinga au yakidakudaku. Watangazaji wa
kipindi yawapasa watambue kuwa huyu mtu ni VIP wa Watanzania....So watangazaji wa kipindi waendeshe kipindi kulingana
na heshima ya mgeni waliomualika hapo studio.
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa kipindi cha HOTMIX na huwa nawakubali sana watangazaji wake (Adrian​ na Fatna) kwa jinsi wanavyoendesha kipindi chao. So kama Adrian na Fatna watakuwa front line kumuhoji Dr Slaa basi nategemea kipindi
kitakuwa kizuri sana! Ila kama kitaendeshwa na watangazaji wengine ambao siwajui basi no coment.
Tbag Hatari uko juu na thnx for the info.
Binafsi ningependa waendesha kipindi wawe makini na maswali watakayokuwa wanamuuliza....wasije wakajisahau wakaona
kama wako na Lusinde au Shibuda na wakaanza kumuuliza maswali ya kiujinga ujinga au yakidakudaku. Watangazaji wa
kipindi yawapasa watambue kuwa huyu mtu ni VIP wa Watanzania....So watangazaji wa kipindi waendeshe kipindi kulingana
na heshima ya mgeni waliomualika hapo studio.
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa kipindi cha HOTMIX na huwa nawakubali sana watangazaji wake (Adrian​ na Fatna) kwa jinsi wanavyoendesha kipindi chao. So kama Adrian na Fatna watakuwa front line kumuhoji Dr Slaa basi nategemea kipindi
kitakuwa kizuri sana! Ila kama kitaendeshwa na watangazaji wengine ambao siwajui basi no coment.
Tbag Hatari uko juu na thnx for the info.
kile kipindi si levo ya dk
Anhaaa kumbe mulitaka aulizwe kama wanavyoulizwa wakina Dimond na Aunt Ezekiel? Basi imekula kwenu.Mkuu,mbona unaanza kujihami kwani hata Dr Slaa mara nyingi anazungumza maneno ya kiudaudaku bila kuthibitisha ukweli ukimuuliza anakuambia uende mahakamani ili mkatopetezeane muda.