Adrian Stepp
R I P
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,600
Ni leo jumatano kuanzia 5-7pm LIVE ndani ya kipindi cha HotMix..
Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi na wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?
mimi ningependa atuambie wazi wazi kwamba ni ipi itikadi ya chadema? Chadema ikiingia madarakani tanzania itaendelea kupokea misaada toka nje au la?ni leo jumatano kuanzia 5-7pm live ndani ya kipindi cha hotmix..
Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi na wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?
Ni leo jumatano kuanzia 5-7pm LIVE ndani ya kipindi cha HotMix..
Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi naa wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?
hii single hai hit tena. zamu ya kutumia kichwa kufikiri sio saburiNi maswali mawili ya msingi kwa Dr Slaa.
1. Bavicha karibia wote wameishanunuliwa kwa kuendekeza njaa nani ataisaidia chama kushinda nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu 2012.
2. Kwa nini unakuwa mwepesi wa kukusanya kadi za CCM kwenye mikutano yako huku wewe mwenyewe binafsi kadi yako ya CCM umeificha mchagoni na kuilipia ada kila mwezi.
Ni leo jumatano kuanzia 5-7pm LIVE ndani ya kipindi cha HotMix.. Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi naa wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?
Ni maswali mawili ya msingi kwa Dr Slaa.
1. Bavicha karibia wote wameishanunuliwa kwa kuendekeza njaa nani ataisaidia chama kushinda nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu 2012.
2. Kwa nini unakuwa mwepesi wa kukusanya kadi za CCM kwenye mikutano yako huku wewe mwenyewe binafsi kadi yako ya CCM umeificha mchagoni na kuilipia ada kila mwezi.
Nina maswali matatu kwa Dr Slaa
- Tuhuma za kukopa pesa za chama kwa matumizi binafsi yako zina ukweli wowote?
- Una mpango wa kugombea urais mwaka 2015? je chama kikikupa ridhaa uko tayari kuipeperusha bendera ya CHADEMA?
- Lini, unategemea kustaafu siasa na kupisha vijana kushika hatamu za uongozi na wewe ukabaki kuwa mlezi?
Mie nataka ufafanuzi juu ya inshu ya LEMA ya ubakaji UK.Ni leo jumatano kuanzia 5-7pm LIVE ndani ya kipindi cha HotMix..
Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi naa wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?