wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,334
- 1,719
Ebwanaee
Hivi hawa wa wapi
Hivi hawa wa wapi
Mzee wa ushirombo usishangae sanaDuhh......
Hahaha kanifanya kama ww ulivyonifanyiaSaint Ivuga hujamwona Rose ee au kakutolea nje pm
Aaaa rose sio type yangu.Saint Ivuga hujamwona Rose ee au kakutolea nje pm
kwani nin kimebadilika mbona yuko vile vile au uli overlook?Aaaa rose sio type yangu.
Picha ya kwanza ilinizingua hii hapa nimemuona vizuri.
Mmmh! Simu yako tu ndo imenifanya nicomment huu uzi 'Siemens' nakumbuka ndo ilikuwa simu ya kwanza kabisa baba'ngu kumiliki nilpokuwa mdogo, simu ilikuwa ikiita najifanya kuita marafiki ili tu waje waone pia baba'angu ana simu.Umeolewa?
from Katesh using Siemens C55
Amenifedhehesha sana..Aliyempiga picha rose Santana hakuzingatia angle sawa sawa,
Alitakiwa asogee kushoto zaidi,kisha apige goti au alale kabisa.