sawa kabisa lakini ingefaa sana taasisi kama bakwata ama yeyote ile ikae chini itafakari namna ya ufundishaji dini. Mfano kitu kama tafsiri umeitaja kuna wengi wamekuja kukutana na tafsiri baadae sana. Japo wengi kuadmit inakuaga ngumu kuadmit ila ni kawaida sana kukuta mtu amehifadhi sura kadhaa bila kufahamu ujumbe uliopo aya kwa aya, akienda mbali atafahamu hii sura imelenga hiki na hiki. Mimi kwa observation yangu ndogo nimeona hili ni tatizo la kimfumo. Ndo maana hata clip ya huyo mmarekani hoja pekee niliyoiona ya kuleta mjadala ni lugha. As long as imekubalika kumaintain lugha ni vema waumini wakafahamu lughaSura ya kwanza kabisa aliyofundishwa mtume ni kusoma kiukweli kiarabu ni changamoto kwa asietaka kusoma kwasababu ndio lugha mama ya kitabu tunachotumia lakini sio kubwa sana kwakua kuna tafsiri hivyo utahitajika kujua idea at least na lugha nyepesi pia kujifunza kwani maneno mengi pia ni ya kiswahili
Hapana mkuu.
Unaona hapo huwezi kumuelezea Mungu kwa lugha yako hadi urejee neno allahAllah alituumba tuongee lugha tofauti ili tupate kumjua yeye kuwa ndiye mwenye uwezo wa kuumba atakavyo
Sitoshangaa nikisikia kauwawa na Majihadistπ
Teh! Black America washaanza kushtukia utumwa wa mwarabu ulikua mbaya zaidi kuliko wa mzunguHuyu nani anamhitaji kwenye Uislam tazama alivyo tu hana hata dalili ya Uislam. Leo mtu aseme Diomond Platinum kajitoa katika Uislam si kama huyu hata kusali hajui labda π
Shida ni kwamba huelew qur'an ilikuwa inashuka kutokana na matukioUislamu unaruhusu kuua asiye muislamu na aliyebadili Imani kutoka uislamu kwenda kwingine
I have been commanded to fight
against people till they testify that there
is no god but Allah, and that Muhammad
is the messenger of Allah"
(Sahihi Muslim 1
:33)
"O you who believe! Fight those of the
unbelievers who are near to you
and let them find in you hardness."
(Quran 9:123)
Kwenye Ibada nyingi za Allah inatumiwa Lugha ya Kiarabu ikiwemo Swala kweni yeye Allah haelewi kuwa aliumba Waafrika weusi?!Allah alituumba tuongee lugha tofauti ili tupate kumjua yeye kuwa ndiye mwenye uwezo wa kuumba atakavyo
Inapaswa dunia nzima ielewe,ukiachana na hiyo uislamu ndio dini inayoeneza chuki na uadui dhidi ya watu wasio waumini wa dini hiyo,na ndio dini yenye vikundi vingi vya kigaidi na magaidi.
ππMimi nilikuwa mkristo but Alhamdulillah Allah aliniongoza nikaingia kwenye njia sahihi na sijutiii kuwa muislamu π
Kwenye Ibada nyingi za Allah inatumiwa Lugha ya Kiarabu ikiwemo Swala kweni yeye Allah haelewi kuwa aliumba Waafrika weusi?
"Inashuka" tena "kutokana na matukio"Shida ni kwamba huelew qur'an ilikuwa inashuka kutokana na matukio
Hapana mkuu.
Mi nilishazikimbia dini zote. Za kizungu, kiarabu na hata kiafrika pia. Sitaki dini.
Sitaki mtu aniambie mambo ya dhahania as if ni uhalisia.
Lugha sio tatizo kwa muktadha huo unaoutaja hapoKwenye Ibada nyingi za Allah inatumiwa Lugha ya Kiarabu ikiwemo Swala kweni yeye Allah haelewi kuwa aliumba Waafrika weusi?!
Kumbe wewe ni kama mimi, mimi nilikuwa Mwisilamu, nikabadri dini fasata na kuwa Mkristo,Mimi nilikuwa mkristo but Alhamdulillah Allah aliniongoza nikaingia kwenye njia sahihi na sijutiii kuwa muislamu π
ππππ Funny hahah!Mimi nilikuwa mkristo but Alhamdulillah Allah aliniongoza nikaingia kwenye njia sahihi na sijutiii kuwa muislamu π
Then, una ahidiwa warembo 72 wa kwako huko majuu.Dini gani ya kulazimishana kwa Upanga?!
Niliamua tu kuwa specific kwa kuwa mada imeelekea kwa waislamu zaidi.Nilikuwa kwenye kukumbusha tu mkuu, kwa maana ulionekana ukristo ulikuwa umeusahau tu:
View attachment 3117165
Au nasema uongo ndugu yangu?