Cheo cha moto.
Hao wanaofanya hivyo ni mashetani. Mungu hahitaji msaada wa binadamu kumwadhibu mwanadamu.Safi sana. Tena huyo amabae anasema uongo ndio kabisa, wakukatwa vichwa vyake vyote viwili.
Hiki ni kitu kizuri ni kama chemical symbols tu mwanakemia yeyote akiona anaelewa.Lengo ni kuwaunganisha waislam
Mfano mdogo adhan inatolewa kwa kiarabu, muislam yeyote dunian akisikia saut hii anajua mda wa kuswali umefika hata kama yupo nchi ambayo hawazungumzi lugha yake
Tueleze mkanganyiko huu katika quran UTATA KATIKA QURAN Siku moja ni ya muda gani kwa mujibu wa Mwenyezi Mungu? a. Siku 1 ni sawa na miaka 1000 (22:47) b. Siku 1 ni sawa na miaka 50,000 (70:4) 2. Mwenyezi Mungu alichukua muda gani kuumba ardhi? a. Siku 6 (7:45, 10:3, 11:7, 25:59) b. Siku 8 ( 41:9-12 ) 3. Je, mbinguni ni kongwe au dunia ni ya zamani? Ni ipi iliundwa kwanza? a. Dunia iliumbwa kwanza (2:29, 41:9) b. Mbingu iliumbwa kwanza (79:27-30) 4. Wanadamu waliumbwa kutokana na kitu gani? a. Bonge la damu ( 96:1-2 ) b. Maji (21:30) c. Udongo uliochomwa (15:26) d. Vumbi (3:59) e. Hakuna (19:67) f. Dunia ( 11:61 ) g. Tone la maji mazito ( 16:4, 75:37 ) h. Udongo unaonata (37:11)Uislam ndio dini isiyo na kasoro
Kwani lazima adhana iwe kwa kiarabu?Lengo ni kuwaunganisha waislam
Mfano mdogo adhan inatolewa kwa kiarabu, muislam yeyote dunian akisikia saut hii anajua mda wa kuswali umefika hata kama yupo nchi ambayo hawazungumzi lugha yake
Ni ngumu kwa watu wenye dini kuelewa kwamba KILA DINI INA KASORO kwasababu kila mtu anatetea dini yake, anaona haina makosa.Uislamu na ugaidi ni sawa na uji na mgonjwa
Kiswahili sanifu kidumu!= yanafikirisha.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?.
America utamkuta Johnson Simon Curtis Jr ni muislam,majina yasikutishe au hujapenda kwa yeye kuhama dini mbona mwanzo mkimtambua kama muislam?Muislamu gani anaitwa Johnson?
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu na amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Kwahiyo ukitumia lugha nyingine ibada inakuwa na mapungufu watu hawataungananishwa na alaa hawezi kusikia mnachomuombaLengo ni kuwaunganisha waislam
Mfano mdogo adhan inatolewa kwa kiarabu, muislam yeyote dunian akisikia saut hii anajua mda wa kuswali umefika hata kama yupo nchi ambayo hawazungumzi lugha yake
Aje akutane na kuhani mkuu mimi wa hiyo dini,namkaribisha sanaDr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu na amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Ndo anajua leo?!Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu na amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika African Spiritualism.
View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS
Usisahau caliphate pia iliuwa wakristu wangapiNi ngumu kwa watu wenye dini kuelewa kwamba KILA DINI INA KASORO kwasababu kila mtu anatetea dini yake, anaona haina makosa.
Waislamu wengi sana waliuawa na wakristo kwenye crusades za karne ya 10 na 11.
Eugenics, mtazamo wa kubagua watu wa rangi ulikuzwa sana na wakristo.
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”Qur'an 2:256. Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 256
Yericko Nyerere kuna ndugu yako huku kaachana na sakramenti za majahazi 🤣🤣🤣Huyu ni Yeriko Nyerere aliyechangamka
Lakini ukiangalia vizuri ana Point Waafrika wanaitana kwenda kuswali Msikitini kwa lugha ya Kiarabu Azana.