Dr. Ulimboka Yuko Wapi?

Ndugu wana JF,

Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:
1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?
2. Je, yupo nchini?
3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?
4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?

Mwenye dondoo atuwekee plz!

Kama sikosei ameamua kua mganga wa Kienyeji yupo Kunduchi Mtongani.
 
Ndugu bonson unapouliza swali la hivyo unarudisha msiba nyuma,hebu tuyasahau yote na tusonge mbele kuifikia meli ya ukombozi 2015
 
Ndugu wana JF,

Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:
1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?
2. Je, yupo nchini?
3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?
4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?

Mwenye dondoo atuwekee plz!

Ndugu ulimboka yupo uganda anasoma swala la nafasi yake kwenye chama cha madr hapo ndio sijajuwa kama bado anashilia cheo chake
 
Ulimpigia kura akiwa anagombea cheo gani kaka? Wambea utawajua tu kwa taarifa yako Hajawahi kuwa kiongozi wa kuchaguliwa kwenye chama chochote cha madaktari. Hii inaonyesha wewe ni wale watu wanaopenda umbeya
 
Kama wewe ni Daktari mwenzake, we ndo unapaswa kutupatia update kuhusu hali yake na sio kutuuliza sisi tulio mbali na upeo wa macho yenu !!!

namimi namtafuta..nataka jua lura yangu iliishia wapi?
 
Ndugu wana JF,

Naomba kupata updates za Dr. Ulimboka:
1. Je, bado ndie mwenyekiti wa madktari Tz?
2. Je, yupo nchini?
3. Vijana walopoteza kazi kwa misimamo yake inakuaje?
4. Je, kaamua kunyamaza au kunyamazishwa?

Mwenye dondoo atuwekee plz!

Kwa usalaama wake ni bora kukaa kimnya.
 
Back
Top Bottom