Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Leo nikiwa nakatiza mitaa ya Ubungo
Nimemuona Dr Ulimboka akiwa amchoka sana yaani kaishiwa nguvu
Inawezekana bado ana maumivu makubwa
Sijui kama anafanya kazi ili kinachoonekana madaktari wenzake wamemtelekeza
na inawezekana msongo wa mawazo unamfanya adhoofika
Uwt-tiss@mabwepande.mateso.com
Serikali ya CCM haina huruma na wala haithamini raia wake
we hujui kuwa serikali inajukumu la kuwapatia ulinzi wananchi wake wote?sio mwajiliwa wa SERIKARI
Yule nimsaliti mkubwa sanaa,mwanahalisi limefungiwa kwa sababu yake,ilifikia waandish wakienda kwake wanafukuzwa na dada zake kua huko huko hatuhitaji waandish,kumbe selikali ilimuahid mapesa mengi akakubal kusalit uma sasa wamemrusha anajirudisha wakat inshu ilisha kua mavi yakale.apeleke usaliti wake hukooo kasababisha madactar wengine wakafunguliwa kesi yaan watu tuliomba dua apone aje atupe mkasa mzima matokeo yake siku alipokua anarud akawa kimyaaa.ikapelekea wana harakat kukata tamaa maana hakuwapa ushirikiano.naninadhan mpaka tigo wali....nilikerwa sana na ukimya wake atajiju hii ndio Tz.wasaliti wataumbuka tu
Leo nikiwa nakatiza mitaa ya Ubungo
Nimemuona Dr Ulimboka akiwa amchoka sana yaani kaishiwa nguvu
Inawezekana bado ana maumivu makubwa
Sijui kama anafanya kazi ili kinachoonekana madaktari wenzake wamemtelekeza
na inawezekana msongo wa mawazo unamfanya adhoofike
Mytake:
Inakuwaje wale waliomsindikiza hawamsadii?