Do hiyo heading ilinishtua,maana yake iko kipande.
Thank God ,tunamwombea apone,ili tuangushe wote kwa pamoja uovu huu,na Tanzania tuliyoahidiwa na Mungu Ichipue na Kumea na hatimaye watoto wa watoto wetu wafaidi matunda ya tunachokipigania.
Sio wapuuzi ndugu, ni mtangazaji wa BBC ndo alianziasha hii, nilimsikia mwenyewe saa 12:00 asubuhi. Nilikosa raha kwa kweli. Tuendelee kuomba jamani kila mtu kwa imani yake, hata wale wapagani ombeni tu mungu atawasikia.
ACP Ahmedi Msangi anaumia sana akisikia maneno haya! Inawezekana waliokuwa wanapotosha habari tangu asubuhi ni watu wa Usalama wa Taifa. Hii Idara inapaswa ivunjwe na isukwe upya!
nakushuru MUNGU KWA KUTUFUTA MACHOZI, TUNAKULILIA UMPONYESHE MTUMISHI WAKO ULIMBOKA, LAKINI SI KWA MATAKWA YETU BALI KWA MAPENZI YAKO, NA KWA NJIA YA KRISTU BWANA NA MWOKOZI WETU
Let me guess, BBC waliamua kutoa habari za taharuki na hivyo kuwafanya wanafamilia na madaktari waone kuna ulazima wa (pengine) kumuonesha Dr Ulimboka kwenye vyombo vya habari. Kwa kufanya hivyo watakuwa wametangaza mahali anapopata matibabu Dr Ulimboka - putting his life in even greater danger! BBC!