Lakini pia wanaharakati na hata wanasiasa kila siku wanajaribu kumshawishi atoke hadharani kusema ukweli kabla tukio hilo halijaanza kusahaulika masikioni mwa watu,
NA familia yake je ? hao maharamia walomfanyia hivo tunaambiwa baba aliekuwa na hasira kwa mwanawe kufariki kwa mgomo wa madaktari ndio walomtibu ulimboka je hamuoni watamfanyizia tena? hebu mwacheni kaka wa watu apumzike na familia yake,, yakimkuta makubwa mtaiangalia familia yake ! dokta pumzika ! usisikilize ya watu ukitokewa na makubwa watakaumia ni watoto, mkeo na wazazi wako wapi watampata ulimboka mwengine ? wao watakuzika baada ya hapo watakusahau! kaa chini ufikirie kwa upana !